Umri na Hisia . . .

C unakaribia kuhukumiwa???unaogopa zaidi ila inategemea mtu na mtu, wengine wanakufa na roho zao mbaya!!
 
Kwa maoni yangu nafikiri ni kawaida, na ndio maana kuna MLC ni hisia kuongezeka baada ya kuanalyse every part of your life na kila matendo yako.
Ujana unatabia ya kutokujali zaidi.
 
ukiwa kijana unasema ''i have time, no problem'' lakini ukizeeka unaanza ku-doubt if u used your time properly na kusononeka kwa the ''time u lost doing nothing''.
 
wala huzeeki vibaya koniie!
way too common!
kuna vitu hata mimi nilikuwa sion a big deal 10 yrs back,but now uuuwih!nahisi ni ile tunazidi kuyavalue maisha na kuzidi kujitafsiri !
wakati wa ujana mara nying ni kama bado tunakuwa hatujajifafanua vizuri!like tupo kwenye kujitafuta zaid!
so hata yale tunayoyapenda na kuyachukia ni kama tunakuwa hatujayatenga hiv!
ni kama bado tupo kwenye ana ana do!
like do i care nikitukana mtu au nikikuta mtu anatukanwa!was like ah shauri yake si kalikoroga!atajibeba!
lakin sasa tunaanza aaah!hata kama kalikoroga huwezi kumtukana mwenzio kiasi hicho,si angemwita na kumwambia tuu!au angetafuta mtu mzima amwambie kuwa hakupenda alivofanyiwa!
 
Kumbe, nilishaogopa na kuanza kusema, mbona nakuwa weak kiasi hiki?

 
MCL ni nini?

NI kweli, siku hizi navipa kipaumbele hata vitu nilivyokuwa sijali

Nikahisi labda niko depressed ndio maana najali, kumbe kawaida

Kwa maoni yangu nafikiri ni kawaida, na ndio maana kuna MLC ni hisia kuongezeka baada ya kuanalyse every part of your life na kila matendo yako.
Ujana unatabia ya kutokujali zaidi.
 
MCL ni nini?

NI kweli, siku hizi navipa kipaumbele hata vitu nilivyokuwa sijali

Nikahisi labda niko depressed ndio maana najali, kumbe kawaida[/QUOTE Kaunga yupo kuleeeee kwenye macheating hata kwenye urafii yani mtu anadanganya tu!
 
Last edited by a moderator:
Kadri umri ukienda unazidi kuwa na busara zaidi na huruma, hii ni kwa sababu roho inatawala mwili zaidi kuliko nafsi.
Unataka uwe na amani na kila mtu awe na amani pia. Hisia za Mungu pia zinakujia mara kwa mara iwapo wewe ni muumini. kwa hiyo hali hiyo ni kawaida na ni dalili ya mtu mwema pia. Ila kama mtu ni mshenzi basi anazeeka hivyo na ushenzi wake na kila akizeeka hali inazidi kuwa mbaya, sana atakosa nguvu tu za kufanya uharamia...
 
Unazeeka vibaya mkuu
 
With age, the quality of emotions may shift from negative to positive, but also from active to passive.
The shift from negative to positive is consistent with the age as maturity perspective.
The shift from active to passive supports the age as decline perspective
 
MCL ni nini?

NI kweli, siku hizi navipa kipaumbele hata vitu nilivyokuwa sijali

Nikahisi labda niko depressed ndio maana najali, kumbe kawaida

Yaani wewe Konie na Snowhite peke yenu tu ndiyo mnafanya iwe kawaida. Nyie wote wagonjwa aisee, mbona mi nazeeka niko vilevile tu?
 
MCL ni nini?

NI kweli, siku hizi navipa kipaumbele hata vitu nilivyokuwa sijali

Nikahisi labda niko depressed ndio maana najali, kumbe kawaida

MLC ni kifupi cha mid life crises.
Achana na hayo mabig word kama 'depression' hukawii kuwa depressed just by thinking of them frequently; it is human nature to be down once in a while si unajua kuna siku 7 ndani ya juma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…