Umri mpevu ila sitamani kuoa

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,836
Reaction score
881
Kuna rafiki yangu mmoja umri wa makamo miaka 48 kaniomba ushauri, katika umri wote huu hajawahi kuoa wala hana mchumba na wala hatamani. Hali hiyo inamtia hofu.

Mdugu zangu wana JF na kitongoji cha MMU naombeni ushauri utakaomfaa huyu rafiki yangu.
 
Kuna rafiki yangu mmoja umri wa makamo miaka 48 kaniomba ushauli, katia umri wote huu hajawahi kuoa wala hana mchumba na wala hatamani. hali hiyo inamtia hofu, ndugu zangu wana jf na kitongoji cha MMU naombeni ushauri utakao mfaa huyu rafik yang.
Ameoa jini/mapepo. Anahitaji msaada ya kiroho

Mshauri akaombewe
 
Kuna rafiki yangu mmoja umri wa makamo miaka 48 kaniomba ushauli, katia umri wote huu hajawahi kuoa wala hana mchumba na wala hatamani. hali hiyo inamtia hofu, ndugu zangu wana jf na kitongoji cha MMU naombeni ushauri utakao mfaa huyu rafik yang.
Mnawapa wakati mgumu sana mod kureview MASHU.DU.
 
Hiyo hali imeanza kumtia hofu at 48?. Kwahyo kwenye 20's, 30's, 40's alikuwa anaona kawaida tu
 
Kuna rafiki yangu mmoja umri wa makamo miaka 48 kaniomba ushauli, katia umri wote huu hajawahi kuoa wala hana mchumba na wala hatamani. hali hiyo inamtia hofu, ndugu zangu wana jf na kitongoji cha MMU naombeni ushauri utakao mfaa huyu rafik yang.
Ana spiritual wife. Anahitaji deliverance
 
Kuna rafiki yangu mmoja umri wa makamo miaka 48 kaniomba ushauli, katia umri wote huu hajawahi kuoa wala hana mchumba na wala hatamani. hali hiyo inamtia hofu, ndugu zangu wana jf na kitongoji cha MMU naombeni ushauri utakao mfaa huyu rafik yang.
Fanya hivi, kwenye maongezi yenu mshike matako kama vile bahati mbaya, akitulia bila kuwa mkali, jaribu tena mara ya pili kuyashika kisha chelewa kutoa mkono akitulia utakuwa na jibu ila akikupiga ngumi ya uso kwa hasira njoo tukushauri tena.
 
Kuna kitu hakiko sawa hapo... Je, pamoja na kutokuwa na mchumba au mke huwa anafanya mapenzi?
Ukishanijibu nitarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…