Umri gani ni wa mwisho kukaa kwa wazazi?

Umri sahihi ni 20, na ni kwa wote tu siku hizi.

Kama ni msomi, si ndo unatoka kwenda Chuo! Na huko chuo si huwa mnaishi KINYUMBA kabisa kwenye mabweni au vyumba mnavyopanga Survey, Makongo juu, Sinza, Kigamboni, n.k
 
😀😀Yule mzee wa Tanga babu kisauji juzi nimemsikia bado anakaa kwao na ana 60 yrs
20240302_202642.jpg
 
Kila watu na tamaduni zao kuna Italians wanaishi mpaka na babu zao na bibi nyumba moja wote
Wao ni kuongeza vyumba kama kuna nafasi
Wanaoa na wanapata watoto

Kama unapenda kukaa na wazazi kaa tu ili mradi unachangia matumizi na unawapa zaidi
Usiwe kama mtoto mdogo wa kula tu bure
 
Back
Top Bottom