GE2025 Umoja wa makanisa ya kitume na kinabii wahimiza Amani uchaguzi mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Baadhi ya Viongozi wa Umoja wa Makanisa ya Kitume na Kinabii Tanzania, wakiongozwa na rais wa Umoja huo Nabii Dr. Joshua Aram Mwantyala wamehimiza amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Soma pia: UVCCM Chato yawaonya wanaopanga njama kuvuruga uchaguzi mkuu

Wameeleza kuwa, Wagombea watakaoshindwa kuchaguliwa na wananchi katika Uchaguzi huo, hawana budi ya kukubaliana na matokeo ili kutoleta machafuko ambayo yanaweza kuliingiza Taifa katika migogoro na vurugu.
 
View attachment 3471194

Wameeleza kuwa, Wagombea watakaoshindwa kuchaguliwa na wananchi katika Uchaguzi huo, hawana budi ya kukubaliana na matokeo ili kutoleta machafuko ambayo yanaweza kuliingiza Taifa katika migogoro na vurugu.
Nyie ndiyo wapigaji wakubwa mnakusanya fedha toka kwa misukule yenu bila kulipa kodi mafisadi wakubwa nyie.
 
Uchawachawa tu, nchi ina amani ya kutosha, muachage kujipendekeza
 
Back
Top Bottom