Hao hao wanaokupa madaraka wanajiuliza. Mzee kibao ambaye wewe ni mbunge wake ulinyamaza kwa mazingira yale sasa wenyewe watakuamini vipi?
Nakumbuka IGP Mangu alikataa kumpeleleza bila kufuata sheria Lissu akijiuliza huyu mtu tumetokea jamii moja wote .
Huyu mtu ni wakili kama mimi sasa ingewezekana kabisa nikawa sehemu aliyopo kama nisingeingia Polisi. Siweze kwenda kinyume na kiapo changu tena kwa ndugu yangu!!.
Nyalandu naye aliacha mpaka ubunge. Sasa Ummy wewe ni uchawa tu kila siku. Lini utakuwa mwenyewe! Achana na unafiki!
Mangu leo ni mwenyekiti wa TPA na yupo na msimamo wake bado