Nikhil
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 361
- 120
Wanajamvi poleni na majukumu.Mwishoni wa wiki iliyopita Waziri wa Afya aliwataka wakurugenzi wa halmashauri zote kuwapatia WATUMISHI wapya wa kada ya AFYA mishahara yao ambapo ni miezi mitatu mpaka sasa hawajalipwa na wengine hawajapewa stahiki zao.
Swali ni je mpaka sasa hilo tamshi halijafanyiwa kazi au maana watumishi wanalalamika MISHAHARA hakuna.
Asanteni wadau
Swali ni je mpaka sasa hilo tamshi halijafanyiwa kazi au maana watumishi wanalalamika MISHAHARA hakuna.
Asanteni wadau