Ummy Mwalimu: Benki nyingi za wanawake hazipo kuwasaidia

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,682
32,204
Mama kamwaga mchele mpaka nimempenda

Ukweli upowazi bank nyingi zingine zilianzishwa kwa ajili ya kupitisha pesa zao mnazijua

Zingine kwa ajili ya wakezao kuombea misaada mnazijua

Sasa kuna hii ya wamama leo waziri kawaka sana bank ya wamama mikopo karibu yote mnagaiana na wengine wengi wafanyabiashara tena wa kiume mna msaada ganii

Aikuisha hapo kasema na hili nilisema mna chaj 24% riba kwa wamama mna msaada gani si bora wakaombe dcb ama crdb

Kiukweli hiyo bank mama waziri ikokifitina fitina hataa hao wanawake wanaopataa mikopo minginree wafanyakazii wanasumbua kukuarakishia mpaka utoe kitu aina msaada kabisa

Umempa sikutatu arekebishe riba nakuja kuuliziaa kama wamepunguza

Kumbe hizo pesa mnachukua serikalini bado mnazungushia kwa wanaume loh
 
Juzi kwenye sherehe ya wiki ya wanawake pale Mnazi Mmoja aliilinganisha Benki ya wanawake na Benki ya Posta.

Alieleza masikio iko Yake kwa kuwa Benki ya Posta kupitia mpango wake maalum wa kuwawezesha wanawake inawapa mikopo kwa RIBA ya asilimia 11 tuuuu!! Wakati Benki ya wanawake RIBA ni asilimia 24. Hayo ndio maajabu ya dunia.

Pia hii Benki ya wanawake haijaweza kwenda vijijini ambako asilimia kubwa ya wanawake wako huko ili kuwapa elimu na kuwasaidia kiuchumi katika maeneo husika. Hii Benki ya wanawake Serikali inawapa ruzuku lakini imeshindwa kumkomboa mwanamke masikini!!!!

Benki ya wanawake jiangalieni na mjitathmini upya!!!

Queen Esther

MAMA KAMWAGA MCHELE MPAKA NIMEMPENDA

UKWELI UPOWAZI BANK NYINGI ZINGINE ZILIANZISHWA KWA AJILI YA KUPITISHA PESA ZAO MNAZIJUA

ZINGI NE KWA AJILI YA WAKEZAO KUOMBEA MISAADA MNAZIJUA

SASA KUNA HII YA WAMAMA LEO WAZIRI KAWAKA SANA BANK YA WAMAMA MIKOPO KARIBU YOTE MNAGAIANA NA WENGINE WENGI WAFANYABIASHARA TENA WA KIUME MNA MSAADA GANII

AIKUISHA HAPO KASEMA NA HILI NILISEMA MNA CHAJ 24% RIBA KWA WAMAMA MNA MSAADA GANI SI BORA WAKAOMBE DCB AMA CRDB

KIUKWELI HIYO BANK MAMA WAZIRI IKOKIFITINA FITINA HATAA HAO WANAWAKE WANAOPATAA MIKOPO MINGINREE WAFANYAKAZII WANASUMBUA KUKUARAKISHIA MPAKA UTOE KITU AINA MSAADA KABISA

UMEMPA SIKUTATU AREKEBISHE RIBA NAKUJA KUULIZIAA KAMA WAMEPUNGUZA

KUMBE HIZO PESA MNACHUKUA SERIKALINI BADO MNAZUNGUSHIA KWA WANAUME LOH
 
Naomba niulize,mishahara ya wafanyakazi wa hiyo Bank inaruzuku toka serikalini??Kama inatakiwa kujiendesha huyo Managing Director yuko sahihi.Mikopo hiyo inaenda kwa hao hao mawaziri na ndugu zao hivyo wanaona ipo juu sana.

Hivi wanaume hawana wake??Hivi mwanaume akimchukulia mkewe mkopo kuna shida???
 
Kwa Waziri Ummy Mwalimu,
Hili jipu la riba katika benki ya Wanawake linakera.
Lakini hilo ni jipu kubwa na huliwezi peke yako.
Nakushauri uanzie kulifuatilia jipu hilo Benki Kuu, na huo ni mhimili mwingine na si wa kwako.
Hata hivyo nakupongeza kwa kutambua jipu hilo, na ukiliweza tu, na sisi wamachinga tunafualilia.

Wasalaam
JIDUZZZ
 
Inaelekea huyu Waziri hajaelewa operations zinazo control mabenki.
Kabla ya kutoa amri angekaa chini na kujifunza mabenki yanaendeshwa vipi, na hatakuwa wa kwanza kujifunza na hatakuwa wa mwisho.
 
Naomba niulize,mishahara ya wafanyakazi wa hiyo Bank inaruzuku toka serikalini??Kama inatakiwa kujiendesha huyo Managing Director yuko sahihi.Mikopo hiyo inaenda kwa hao hao mawaziri na ndugu zao hivyo wanaona ipo juu sana.

Hivi wanaume hawana wake??Hivi mwanaume akimchukulia mkewe mkopo kuna shida???
Tatizo ya hii bank imeacha malengo yake ya kusiadia wanawake
 
MAMA KAMWAGA MCHELE MPAKA NIMEMPENDA

UKWELI UPOWAZI BANK NYINGI ZINGINE ZILIANZISHWA KWA AJILI YA KUPITISHA PESA ZAO MNAZIJUA

ZINGI NE KWA AJILI YA WAKEZAO KUOMBEA MISAADA MNAZIJUA

SASA KUNA HII YA WAMAMA LEO WAZIRI KAWAKA SANA BANK YA WAMAMA MIKOPO KARIBU YOTE MNAGAIANA NA WENGINE WENGI WAFANYABIASHARA TENA WA KIUME MNA MSAADA GANII

AIKUISHA HAPO KASEMA NA HILI NILISEMA MNA CHAJ 24% RIBA KWA WAMAMA MNA MSAADA GANI SI BORA WAKAOMBE DCB AMA CRDB

KIUKWELI HIYO BANK MAMA WAZIRI IKOKIFITINA FITINA HATAA HAO WANAWAKE WANAOPATAA MIKOPO MINGINREE WAFANYAKAZII WANASUMBUA KUKUARAKISHIA MPAKA UTOE KITU AINA MSAADA KABISA

UMEMPA SIKUTATU AREKEBISHE RIBA NAKUJA KUULIZIAA KAMA WAMEPUNGUZA

KUMBE HIZO PESA MNACHUKUA SERIKALINI BADO MNAZUNGUSHIA KWA WANAUME LOH

Kwani Ummy alikuwa hajui hilo? Kweeeli?
 
Nani kamwambia waziri kuwa benki hiyo ni kwa wanawake tuu. Pia benki inatakiwa kujiendesha kibiashara. Menejimenti na Bodi ndio wamepewa majukumu hayo kwa kuzingatia taaluma. Tukiendelea na mtindo wa wanasiasa kuingia hadi jikoni kwenye maambo ya kiufundi/kitaalamu tusishangae taasisi za umma za kibishara zitakufa kama ilivyotokea mia iliyopita. Sula la riba limeongelewa sana na linahusu karibu benki zote. Liangaliwe kwa mapama yake badala ya kubana kibenki kidogo kama hicho cha wanawake. Pia ikumbukwe mara kadhaa serikali imekuwa inaahidi kwenye hotuba za bajeti kuongeza mtaji wa benki hii sijui kama ahadi hizo zilikuwa zinatekelezwa.
 
Benki ya Posta imepongezwa sana sana na wanawake na Mkurugenzi mkuu alipewa Zawadi na wanawake pale mnazi mmoja.

Issue hapa ni kuwa Benki ya wanawake sio rafiki wa wanawake hasa hawa wa chini ambao mkombozi wao ni VICOBBA. Benki ya Posta ni mkombozi wa wanawake wa level zote hasa chini na kati.

RIBA ya asilimia 24 ya Benki ya wanawake haiwezi kulingana na asilimia 11 ya Benki ya Posta. Usisahau Benki ya Posta haina ruzuku Kama Benki ya wanawake!!!

Usizungumzie siasa hapa, nenda kasome malengo ya kuanzishwa Benki ya wanawake halafu yapime.

Mhe. Ummy yuko sahihi kabisa.

Queen Esther

Nani kamwambia waziri kuwa benki hiyo ni kwa wanawake tuu. Pia benki inatakiwa kujiendesha kibiashara. Menejimenti na Bodi ndio wamepewa majukumu hayo kwa kuzingatia taaluma. Tukiendelea na mtindo wa wanasiasa kuingia hadi jikoni kwenye maambo ya kiufundi/kitaalamu tusishangae taasisi za umma za kibishara zitakufa kama ilivyotokea mia iliyopita. Sula la riba limeongelewa sana na linahusu karibu benki zote. Liangaliwe kwa mapama yake badala ya kubana kibenki kidogo kama hicho cha wanawake. Pia ikumbukwe mara kadhaa serikali imekuwa inaahidi kwenye hotuba za bajeti kuongeza mtaji wa benki hii sijui kama ahadi hizo zilikuwa zinatekelezwa.
 
Tatizo ya hii bank imeacha malengo yake ya kusiadia wanawake

Toka mwanzo ilimsaidia mwanamke wa aina gani???Mkulima au???Hakuna bank itakayoweza kumsaidia Mwanamke wa kawaida a sababu hawana corrateral.Je mashamba yao yamepimwa???
 
Kasome malengo ya kuanzishwa hiyo Benki kwanza. Usijibu bila kuongeza kiwango chako cha UFAHAMU kwenye eneo husika.

Poleni KWA aliowagusaa naona mmekuja NA hasiraa

Akuna namaana mbayaa anataka bank ihusike zaidi kumsaidia mtanzania mwanamke jamani ndio lengo kuu
 
Kasome malengo ya kuanzishwa hiyo Benki kwanza. Usijibu bila kuongeza kiwango chako cha UFAHAMU kwenye eneo husika.

Queen Esther

Lengo japo lilikuwa la kumpa mkopo huyo mwanamke,wamemsaidiaje huyo mwanamke kupata huo Mkopo??Wanaisadiaje bank??Wanawapa ruzuku??Hujajibu swali unatoka na kujifanya unajua banking.Kama hiyo Bank ya wanawake haipokei ruuzku toka serikalini unategemea running cost zake inazilipate,kuanzia mishahara ya staff mpaka kulipia kodi za majengo nk nk.Unadhani ukiwa mwanamke unapewa tu mkopo??My dear kunatakiwa uwe na collateral huyo mwanamke wa kijijini au mlengwa ana collatera??Angeweza kutumia shamba je limepimwa??Serikali imemuwezeshaje huyu Mwanamke aupate huo mkopo???

Tusiende kisiasa na ndiyo sababu THB(Tanzania Housing Bank) ilikufa sababu iliendeshwa kisiasa.Tusidhani wengine hatujui issues za bank tumefanya kazi bank ,tumechukua mikopo bank,tusikimbilie kulaumu tu,tuwe tunahoji???Hiyo bank kweli inauwezo wa kuwapa wanawake vijijini mikopo wakati ipo hapa Dar tu??

For your information wanawake wengi wamechukuliwa mikopo na waume zao,kwa maana kwamba wanakuwa na Joint account kwenye hiyo bank na kwa vile Mume ndiyo mwenye kipato anachukua Mkopo kwa niaba ya Mkewe,na anaweka collateral mishahara wake pamoja na mafao.Upo Queen Esther??

Ufahamu wangu umekuzidi wewe unayedhani kila kitu ni siasa tu.Hoji
 
Bank sio tatizo
Tatizo watu wanakopa na hawarudishi hivo lazima riba ziwe juu ili kukava associated risks
Watanzania kuwakopesha yahitaji moyo
 
Mkuu, kwa hiyo riba zikiwa kubwa ndipo wanarudisha mikopo?
 
Wewe mtaalamu wa Benki tuambie TZ Postal Bank wamewezaje??? Maana hawa ndio wanaowawezesha hao wanawake wa chini kabisa wanaotegemea VICOBBA.

Queen Esther

Lengo japo lilikuwa la kumpa mkopo huyo mwanamke,wamemsaidiaje huyo mwanamke kupata huo Mkopo??Wanaisadiaje bank??Wanawapa ruzuku??Hujajibu swali unatoka na kujifanya unajua banking.Kama hiyo Bank ya wanawake haipokei ruuzku toka serikalini unategemea running cost zake inazilipate,kuanzia mishahara ya staff mpaka kulipia kodi za majengo nk nk.Unadhani ukiwa mwanamke unapewa tu mkopo??My dear kunatakiwa uwe na collateral huyo mwanamke wa kijijini au mlengwa ana collatera??Angeweza kutumia shamba je limepimwa??Serikali imemuwezeshaje huyu Mwanamke aupate huo mkopo???

Tusiende kisiasa na ndiyo sababu THB(Tanzania Housing Bank) ilikufa sababu iliendeshwa kisiasa.Tusidhani wengine hatujui issues za bank tumefanya kazi bank ,tumechukua mikopo bank,tusikimbilie kulaumu tu,tuwe tunahoji???Hiyo bank kweli inauwezo wa kuwapa wanawake vijijini mikopo wakati ipo hapa Dar tu??

For your information wanawake wengi wamechukuliwa mikopo na waume zao,kwa maana kwamba wanakuwa na Joint account kwenye hiyo bank na kwa vile Mume ndiyo mwenye kipato anachukua Mkopo kwa niaba ya Mkewe,na anaweka collateral mishahara wake pamoja na mafao.Upo Queen Esther??

Ufahamu wangu umekuzidi wewe unayedhani kila kitu ni siasa tu.Hoji
 
Wewe mtaalamu wa Benki tuambie TZ Postal Bank wamewezaje??? Maana hawa ndio wanaowawezesha hao wanawake wa chini kabisa wanaotegemea VICOBBA.

Queen Esther

Dada Postal Bank bado haijaanza kuoperate fully kama Bank,pili inapata Ruzuku toka serikalini.Nimekuuliza swali kama Bank ya wanawake inapata Ruzuku serikalini,kama haipati basi imeshakuwa bank ya biashara inayotakiwa kujiendesha kibiashara,itafuata sheria za Banking ambazo zinatungwa na BOT.

Tusije tukawa wepesi wa kulaumu wakati hatujui kama hiyo bank inapewa Ruzuku au lah?Dada yangu mpendwa kuendesha bank ni shughuli.Kumbuka THB iliendeshwa kisiasa leo hatuna Bank ya nyumba ambayo ilikuwa iansaidia kutoa mikopo ya nyumba kwa watu wa hali ya chini.

Kama kweli serikali ina nia ya kusaidia wanawake basi na iipe ruzuku na pili hiyo bank iwe na matawi Tanzania nzima.Bank yenye Tawi moja Dar,tu unategemea litamsaidia mwanamke wa kawaida??

Bado ninasisitiza tuwe na tabia ya kuhoji
 
Back
Top Bottom