VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,269 May 22, 2014 #2 hili linyama huwa nalikubali sana
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 May 22, 2014 #3 Hiyo pembe ingeiingia kweye mshazari wa bluu ingekuwa safi zaidi na fundisho kwa wengine
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 May 22, 2014 #4 Kuna michezo duniani ni migumu mno, mambo gani ya kutoeana majeraha kila kona ya mwili
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 May 22, 2014 #5 kadakokigondile said: Hiyo pembe ingeiingia kweye mshazari wa bluu ingekuwa safi zaidi na fundisho kwa wengine Click to expand... Mkuu hawafundishiki hawa unamkuta mtu ana majeraha kila kona ya mwili lakini bado hataki kuacha huo mchezo
kadakokigondile said: Hiyo pembe ingeiingia kweye mshazari wa bluu ingekuwa safi zaidi na fundisho kwa wengine Click to expand... Mkuu hawafundishiki hawa unamkuta mtu ana majeraha kila kona ya mwili lakini bado hataki kuacha huo mchezo