"Hawa watu wanaharibu sana chama mwanzoni walikuja na njia ya kuleta ukabila kwa kushirikiana na kikundi cha kabila la Waruguru cha Manispaa ya Morogoro kijulikanacho kama Twimanye…..
"CCM mkoa nao umekuwa ukifumbia macho mambo hayo, sio kama hawayaoni wanayaona sana, na baadhi ya viongozi wa mkoa wamekuwa wakishiriki kuhakikisha jambo wanalolitaka viongozi hao wa wilaya linafanikiwa," alisema mmoja wao.