uchaguzi lini?MHE. RAISI (JPM) ATALIFANYAJE JIJI LA DAR ES SALAAM KUWA JIJI LA KIMATAIFA NA KIOO CHA TANZANIA CHINI YA UTAWALA WA MAMEYA WA UKAWA?
Tafakali!!!!!
MHE. RAISI (JPM) ATALIFANYAJE JIJI LA DAR ES SALAAM KUWA JIJI LA KIMATAIFA NA KIOO CHA TANZANIA CHINI YA UTAWALA WA MAMEYA WA UKAWA?
Tafakali!!!!!
Ulitakiwa uulize kinyume chake.UKAWA walikuwa wakisema kwenye kampeni kuwa jiji la dar es salaam laweza kuwa kigali ila tatizo ni mameya wa CCM waliokuwepo.Wananchi wakawaamini wakawapa kura.Haya geuzeni jiji liwe kama Kigali sasa.
Sasa UKAWA ndio mameya tunasubiri wageuze jiji liwe kama Kigali kama walivyoahidi kwenye kampeni.lakini siku mbaya huonekana asubuhi.Ni miezi mitatu imepita lakini ndoto za jiji kuwa kama Kigali zimeyeyuka UKAWA wametapeli wapiga kura.
Na gia wanayotumia UKAWA nilichogundua wakiwa hawajashika madaraka wanalaumu serikali wakishika wanalaumu serikali kwa mambo kutokwenda.Kwa hiyo ushauri kwa wananchi ni kuwa kwa kuwa UKAWA wasipokuwa madarakani mambo hayaendi kwa kulaumu serikakali na wakishika mambo hayaendi kwa kuilaumu serikali basi kinachotakiwa kufanyika ni kutowachagua kabisa kwani ukiwachagua na usipowachagua hakuna kinachoenda kufanyika wanapokea mishahara na posho na kutokomea gizani bila kufanya lolote huku wakiendelea kulaumu serikali.
UKAWA wanapenda vyeo sana lakini sio kazi.Wanasahau kuwa CHEO SI CHEO NI KAZI.CHEO SI KUVAA JOHO LA UMEYA NA KUZURURA VIJIWE VYA UKAWA KUJITANGAZA KUWA WEWE NDIO MEYA KWA TIKETI YA UKAWA.CHEO NI KAZI WAFANYE KAZI WAACHE POROJO WAGEUZE JIJI KAMA KIGALI KAMA WALIVYOAHIDI.