Umewahi tumia hii kusheherekea mwaka mpya enzi za utoto

Innocenthezron

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
393
469
c85037575124de9d0347f51bef61ad99.jpg
1483173551748.png
 
Yaaaaan nilikua nawasaidia kaka zangu kutafta spoku za baiskeli kwa ajili ya kutengeneza baruti za mwaka mpya dah na siku kama ya Leo tumeshaitengeneza tunasubiri mda ufike huku tukiikagua kama ipo tulipoiweka na kuifanyia majaribio kama kitu kinajibu
 
Alieko dar na anayo hii mambo tuchonge me nimemis kinyama ani......... Me mwanafunzi ko hata jela ctakaa sana
 
jamani mimi nina kitu ya rocket na tangu jana huku kwetu naona pira linapita lakini nitapiga ivyo ivyo kwa kutengeana
 
Hahahahaha.! Hii kitu kuna mwaka mpya flani bado kidogo tumuue kwa presha kizee flani hivi kilikuwa kinoko sana mtaani.. Mzee alikuwa anatufatilia sana watoto wa mtaa.. Sasa mwaka mpya tukamfungia kazi!! Piga sana baruti dirishani kwake, kumbe bhana mzee wa watu ana presha, basi wacha alie kama mtoto "mamaaaaaa, mnaniuaaaaa"

Daaaaahh utoto wetu ulikuwa raha sana!

Mtaa wetu tulikuwa watukutu sana aisee! Mtaa wetu ulipewa a.k.a "Utulivu" eti kisa mchana ukipita mtaa uko kimyaaaaaaa sababu watoto wote tuko shule, sasa pita jioni kipindi makomando vipensi tumerudi hahahahah utahisi uko iraq..
 
Tuko chimbo milipuko ka taleban........... Nikiludi mkoa lzm nije nayo nitaipiga mwakani..... Hata jela nikakae tuu ila nafsi yangu ifurahi af me c mwanafunzi jela sikai sana
 
Back
Top Bottom