Umewahi kusikia kuhusu L - Pesa?

Ni kweli nilikuwa nawafaidisha... Lakini hata bila kufanya hvyo... Kitendo cha kukopa tu tayari ni faida kwao .... Ili kuepuka hasara ni kuacha tu kukopa.


Mi ni mfanyabiashara.. Lengo kuu ilikuwa ni kutengeneza trust na kukuza kiwango changu cha mikopo katika sehemu zoote za mikopo.... Kwa sasa sipo vibaya kiuchumi na ndio sio tatizo saana kutengeneza kiwango changu


Inakuwa rahis kwangu.. Siku nikitaka kujiinua toka kwenye mtikisiko wa uchumi.

Nakuta kiwango changu kikuuubwa nafanya mambo ya uhakika.

Kuliko eti umeyumba unakopeshwa 2230 utaifanyia nin sasa;
Na ulishindwaje kukuza kiwango chako wakati ukiwa vizur kiuchumi.


Example.

Nikitaka kukopa leo.
Tala niko kiwango cha laki 3 na 40.
Branch 200000
L pesa dollar 150.

Na asasi zingine kibao.

Kwa iyo nina uwezo wa kupata hadi million 2 kwa haraka saana.
Sasa mkuu sikama unawafaidisha wao maana kila ukikopa nakulipa hapo hapo naamini kuna hela unakuwa tayar umeliwa hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom