Anza wewe kutueleza kwanza kisa chako mkuu..😊Habari wana JF!
Katika safari ya kuajiriwa, nani amekutana na kasumba ya mabosi visirani "Toxic" pindi wanapotaka kuacha kazi.
Share your experiences.
Provide more info/ just go more deper tukuelewe.Habari wana JF!
Katika safari ya kuajiriwa, nani amekutana na kasumba ya mabosi visirani "Toxic" pindi wanapotaka kuacha kazi.
Share your experiences.