joshua advocate
Member
- Sep 25, 2014
- 30
- 1
miaka 24
nina mpenzi wangu
wa kike tuna kama mwaka mmoja kwenye mapenzi na watu wengi wanasema
hajatulia na mm nikajaribu kumpiga chini lakin baada ya muda mfupi
nikamrudia nikampiga chini kama mara nne hv ila moyo wangu bado upo
kwake na yeye ananipenda sana sasa jamani mnisaidie nifanyeje na watu
wanasema hajatulia na mm kwa sehemu flan nimeshuhudia ila nampenda sana
huyu binti toka moyon na kumsahau siwezi alafu tunampango wa kuishi
pamoja kama mme na mke
Labda nikulize ulichompendea nini? juu yakua umeshuhudia lakini unampenda sasa unapenda michezo yake raha zake,mcheruko wake,mavazi yake umbo lake au moyo tuu unapenda hujui unapenda nini?nijibu ili nijue ulaumu Moyo au Macho au Akili.............nina mpenzi wangu wa kike tuna kama mwaka mmoja kwenye mapenzi na watu wengi wanasema hajatulia na mm nikajaribu kumpiga chini lakin baada ya muda mfupi nikamrudia nikampiga chini kama mara nne hv ila moyo wangu bado upo kwake na yeye ananipenda sana sasa jamani mnisaidie nifanyeje na watu wanasema hajatulia na mm kwa sehemu flan nimeshuhudia ila nampenda sana huyu binti toka moyon na kumsahau siwezi alafu tunampango wa kuishi pamoja kama mme na mke
mapenzi shida pesa ndio kabisa
miaka 24
unampiga chini mara nne(4).........
Mnapenda vibaya