Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini timu za Taifa za vijana za Afrika zinafanya vizuri sana katika mashindano ya kimataifa [rejea Nigeria bingwa wa kombe la dunia U17, hii ni mara ya nne wakiwa wamecheza fainali 7 za WC U17] lakini timu hizo hizo miaka 10 baadaye zinakuwa hovyo ili hali wenzao [European/South American teams] ambao waliwafunga wakiwa wadogo ndio hao hao wanakuja kuwa heroes wanapokuwa wakubwa!
Tatizo la msingi hapo ni nini?
Tatizo la msingi hapo ni nini?