Kwa mantiki hii ntachelewa kuoa na kufanya uvumbuzi wa kisayansi ili nisife mapema...nadhani Mungu atanipa mda zaidi wa kuishi.kwa sababu kuna vitu nahitaji kukamilisha hapa duniani ambavyo Mungu ameniagiza nivifanye kabla sijafa... vikiwemo kumtukuza yeye,ndoa,kuwajali na kuwapenda wengine kama ninavyojipenda kuvumbua vitu hasa kwenye technolojia maana Mungu ametupa utashi wa akili tofauti na viumbe vyengine duniani etc.