Charles Mkubya
JF-Expert Member
- Aug 27, 2009
- 206
- 161
Ni takribani mwezi mmoja umepita nilikuja JF kuomba msaada baada ya kuibiwa simu yangu pale Darajani kuelekea mataa ya Changombe. Kwa bahati nzuri nimeipata jana baada ya mtu kuipeleka I-store Mlimani city apate msaada ya kuifungua (Istore n dealers wa Apple product Authorised agents), wahudumu walipoiunganisha na computer zao wakakuta iko locked na ujumbe wangu kwamba simu ile ilikua imeibiwa, atakaeipata anipigie simu kwa number nilizokuwa nimeweka pale, wakanipigia simu wakanieza stori nzima waiomba niende na ID card. Alikua kijana mdogo (sitoweka number yake hapa wala jina lake but kwa maelezo ya wahudumu pale istore, simu hiyo alipewa na kaka yake. Asanteni kwa wale mlionipa moyo kuwa itapatikana na wale waliokuwa wanaitafuta kimya kimya. Kwa ambao walikua hawajaona, hii link ndio niliotoa siku nimeibiwa. https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/608175-zawadi-nono-iphone-5-a.html

Mh mkuu mbona kama wanigutusha kitu! Skia kuna mtu namfahamu anataka kuniuzia iphone 4s ila tatizo lake ukiweka line yoyote za mitandao ya bongo haisomi. Sasa umenitia shaka kidogo nisije nikainunua then wakati naishughurikia ikatokea kama kilichotokea kwa simu yako!
Je kutosoma line za bongo haiwezi kuwa imelokiwa kwa swala la ulinzi? Nifafanulie please

hongera kwa kuipata hiyo simu yako itabidi nami niweke rock na unifundishe namna ya kuweka rock kwa simu yangu aina ya lg smartphone
du hongera sana, kuna simu zingine kuibiwa ni vigumu, hivi angeenda kuiflash nayo pia ungeipata?
aisee simu hizi"hongera sana mkuu
Ndugu Charles, hongera sana kupata simu yako.mimi naomba unisaidie jinsi ya kui lock simu yangu ni samsung galaxy note 2.pls brother.
Unawezaje kuweka huo ulinzi kwa cm
Msaada me nimeibiwa I phone 4s ntawezakuipata?,maana niliiweka Pasword tu!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums