Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,592
- 20,491
ikawaje baada ya wazee kuhangaikaPranks si vitu vigeni. Tumefanya toka utotoni. Social media ni zimezifanya ziwe maarufu sana. Mimi ilikuwa hii.
Tulikuwa na jamaa yangu tumetoka chuo Muhimbili tunaelekea Mabibo hostel. Ndiyo tunaanza shule. Tunatembea hadi mtaa wa Congo kuchukua gari za kutoka Mnazi Mmoja.
Sasa kufika jengo la soko la Kariakoo kulikuwaga na wazee machinga wengi wanauza suruali za mtumba. Jamaa akataka suruali lakini wakajaa wengi sana kumzunguka. Ghafla akaanza kuongea kiingereza. Jamaa wakaanza kubabaika. Wananiuliza jamaa anavyosema mimi nawatafsiria.
Nikawaambia jamaa ni Mzambia. Basi wanataja bei kubwa, mimi namtafsiria jamaa. Jamaa anajidai, "Too expensive, too expensive." Wazee walihangaika sana wale.😀😀
Hatukununua. Nikawaambia jamaa kasema bei kubwa. Wakatufuata kidogo wakitubembeleza tunavyoondoka, baadaye wakakata tamaa.ikawaje baada ya wazee kuhangaika
Dah, yako hii ya kurushiwa ngumi.Niliwahi kumtext mtu na number ambayo haijui nikamwambia afike ITV kwa ajili ya interview alienda akaishia getini
Ntamwambia ukweli kuwa mimi ndo nilimuita kwenye interview baada ya mwezi mmoja
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Hahaaa, alitisha sana mzee wenu.Me nakumbuka mzee alishawahi kutu prank enzi hzo tunaishi wote ilikua ni noma siku hiyo asee, alijifanya jambazi, siku hiyo tulilia na kucheka badae 😎
Dah[emoji28][emoji28]Me nakumbuka mzee alishawahi kutu prank enzi hzo tunaishi wote ilikua ni noma siku hiyo asee, alijifanya jambazi, siku hiyo tulilia na kucheka badae [emoji41]
noma sana
Usikute mshua alikuwa jambazi kweli sema cku hyo aliamua kufnya majaribio ya mbinu mpya Kwanza nyumbnMe nakumbuka mzee alishawahi kutu prank enzi hzo tunaishi wote ilikua ni noma siku hiyo asee, alijifanya jambazi, siku hiyo tulilia na kucheka badae 😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weeUsikute mshua alikuwa jambazi kweli sema cku hyo aliamua kufnya majaribio ya mbinu mpya Kwanza nyumbn
[emoji23][emoji23]Usikute mshua alikuwa jambazi kweli sema cku hyo aliamua kufnya majaribio ya mbinu mpya Kwanza nyumbn
Mlikuwa vizuri sana. Waliwafanyaje walipowajua?Daah mambo mengine ujinga sana
Ilikuwa ikifika usiku saa tano saa sita tunaenda kuchukua mashuka ya kulalia yalikuwa meupe tunajifunika gubi gubi na tunakaa kwenye kichochoro jirani na home chenye giza giza tulikimbizaga sana watu daah walevi ndio usiseme
Ila tulipokuja kufahamika tulijuta kuzaliwa