Umewahi kufanya mapenzi na mtu aliyekyzidi miaka mingapi?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Ngoja nicheke Kwanza (teh teh)

Asubuhi yote hii na mada za mapenzi? Ok lakini kila mtu na fikra zake. Wengine tumewamiss ma sugar mamy wetu.

Habari za asubuhi

Swali la Leo,, hivi katika pita pita zako umeshawahi kufanya mapenzi na mwanaume/mwanamke aliyekuzidi miaka mingapi ki umri?

Mimi binafsi nimeshawahi ku sex na mwanamke amenizidi miaka 10...

Wewe je
 
Mkuu huwa nafanya mapenzi sina time na umri niupeleke wapi mie.
Ungeuliza umefanya na wake za watu wangapi ningejaribu kufikria Hata kukujibu
 
Back
Top Bottom