Umewahi kufanya mapenzi kwenye simu?

nikiweka maelezo hapa jinsi ya tendo linavyokuwa either comment yangu itafutwa au thread itahamishwa jukwaa coz inahusisha utamkaji wa vitu na viungo nyeti vya binaadamu.

We tumia tafsida tu ambaye haelewi shauri yake
 
Kwa mujibu wa wazoefu, ni kwamba ukianza na haya mambo kuacha ni shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…