Umewahi kuckia hii..?

Umewahi kuckia hii..?

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Mchungaj m1, alikuwa amepotelewa jogoo wake, ikabidi atangaze kanisan;
"JAMAN NANI KAONA JOGOO WANGU" mara wanakwaya 4 (wanawake) wakanyoosha mkono, akasema "mh ni nyie tu"..?, gafla masister karibu wote wakanyoosha mikono, akasema tena, "hapana jamani sio hivyo nauli JOGOO yangu ile NYEUSI", Tena wakanyoosha mabinti 6 kutoka bench la nyuma. Yule Mchngj kuona vile ikabd asingizie afya imegoma ili asiendelee na IBAADA du..!.
 
Umechakachua afu ukaharibu mazima arif
 
Back
Top Bottom