umewahi isikia hii?

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,263
5,661
Jana katika kupiga stori mbili tatu na washkaji mtaani,akaja jamaa mmoja hivi akawa analalamikia hali ngumu ya maisha hivi sasa,alkasema mfano kipindi hiki mademu wapenda offer wanakunywa sana mikojo,ikabidi nitahamaki na nikauliza mikojo kivipi? jamaaa akasema naw demu unamnunulia bia moja tuu akijichanganya unaongeza ni visoda viwili vya mkojo analewa fasta hata hiyo moja hamalizi, nikastaajabu sana kumbe hizi offer dadaz mnalewa na vingi
 
Ha ha ha kumbe ndio mbinu yao bas nawajazia chupa kabisa ya uhai halafu ndio tunaanza ofa
 
Back
Top Bottom