Chungwa ndio nini?Wa chungwa?
Wakwetu ndio nini?Chungwa ndio nini?
Nitakuchapa unakichwa kigumuπ wa nyumbani maana yake.Wakwetu ndio nini?
Nitakuchapa una kichwa kigumuβΊοΈana rangi ile tunayoipendaga maana yakeNitakuchapa unakichwa kigumuπ wa nyumbani maana yake.
π€π€huyo dada yangu wewe katupia ki madam boss.Nitakuchapa una kichwa kigumuβΊοΈana rangi ile tunayoipendaga maana yake
π€π€huyo dada yangu wewe katupia ki madam boss.
ππππ ila nimegundua wengi ni wadogo humu hata wale wenye I'd kongwe kumbe watoto tuππHata mimi ni dada yako
Aisee π₯π₯π₯
Hata wakaka nao ni wadogoππππ ila nimegundua wengi ni wadogo humu hata wale wenye I'd kongwe kumbe watoto tuππ
Kwani naye ni Mndu wo' kanyi?Nitakuchapa unakichwa kigumuπ wa nyumbani maana yake.
Otee ichu nyi mndu o nuka.Kwani naye ni Mndu wo' kanyi?
Ngoja nirudie kuangalia pichaππKwakweli baraka nimepokea
Mbarikiwe sana ila@manyanza usimuamini sana kwenye wazuri Bado sana ππ
Sana yani hata ndevu bado changa mnoππHata wakaka nao ni wadogo
Wifi naomba saa π
Manyanza hizo crocs za tandale mida ya saa 10 πΉπΉπΉ
Ahsante Wii wetuWifi naomba saa π
Umependeza mno toto la kichaga ππ
Manyanza km huyu ndio wewe basi Mashallah π₯° π₯°π₯°π₯°π₯°
Mkuu ushapiga msosi umeshiba ukaona ya nini kujibana ukachomolea πΉπΉπΉ