Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mama mtumishi nibless na mfoto wa vacation kwanza, umesema ushaanza shamrashamra za kumpokea Jesus
Shamra shamra za birthday yangu 25....inayoambatana na kumpokea Jesus 🀣
Jmn Sina picha mpya
 
Yaani nimecheka jmnπŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
We noma
Omulasil
Tatizo huyu boss mkono mfupi mpk nimemsahau πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya tajiri wetu, shem km shem, mwenye mipesa yako mjini na unayemiliki pisi kali JF nzima Mr Omulasil njoo kipande hiki baby wako anakuita. Mtoto kanyooka, halafu kapoa body kinanda!! Tajiri unafaidi 😜
 
Shamra shamra za birthday yangu 25....inayoambatana na kumpokea Jesus 🀣
Jmn Sina picha mpya
Oyooooo!!! Shem wa kukusaidia kuchagua zawadi za bday ya mrembo nipo hapa Omulasil πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Me mpambe hata tecno inanitosha ila bday girl iPhone 15 Pro inamuhusu ukimtupia na kafunguo hata ka harrier haina shida boss
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…