Morning Glory1
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 452
- 905
Anatumika tu, hakuna linalofanyika kwa mamlaka yake.29 October 2025 aliua ili ajiapishe yeye na wenzake. Wakazima mtandao msijue yanayotendeka
Nyege za kufanya vurugu kuzuwia uchaguzi mlitoa wapi?..mlifikiri bunduki za polisi ni kwa ajili ya nani?29 October 2025 aliua ili ajiapishe yeye na wenzake. Wakazima mtandao msijue yanayotendeka
Ajiandae kutumika kama kuni jehanumAnatumika tu, hakuna linalofanyika kwa mamlaka yake.
Mimi na nani ndio tulikuwa na nyege za kuzuia uchaguzi? Naomba unitajie, maana naona wewe ndio msemaji wa nyege zanguNyege za kufanya vurugu kuzuwia uchaguzi mlitoa wapi?..mlifikiri bunduki za polisi ni kwa ajili ya nani?
Jehanum ni wapi?Ajiandae kutumika kama kuni jehanum
Si ni kama kileleni, hata kitandani unafikaJehanum ni wapi?
Umewahi kufika?
Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi...Mbwa watairamba na damu yale piaNyege za kufanya vurugu kuzuwia uchaguzi mlitoa wapi?..mlifikiri bunduki za polisi ni kwa ajili ya nani?
Chezea vyote usimchezee Mungu wa mbinguni.Chezea ndevu usichezee serikali -Dr salmin amour
Roho haifi kuku maji weweChezea vyote usimchezee Mungu wa mbinguni.
Yeye anaua mwili na roho.
Bible ni bedtime storiesMahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi...Mbwa watairamba na damu yale pia
Zingatia neno MBWA!!00
1WAFAMLE 21:17-19
Neno la Bwana likamjia Eliya Mtishbi, kusema,
Ondoka, ushuke, ukutane na Ahabu mfalme wa Israeli, akaaye katika Samaria; yuko katika shamba la mizabibu la Nabothi, ndiko alikoshukia ili alitamalaki.
Ukamwambie, ukisema, Bwana asema hivi, JE! UMEUA, ILI UKATAMALAKIi? Nawe utamwambia, kusema, Bwana asema hivi, Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba na damu yako, naam, damu yako.
Alie karibu na mfalme Ahabu atusaidie kumuuliza ameua ili ukatamalaki?!!!