Mkuu ukijiangalia vizuri utagundua kinachokufanya useme hvyo ni vile umependa. Ila sikuzote mambo ndo yapo hvyo. Good girls love bad boys!
karibuni nilikutana na mdogo wangu wa kike kwenye daladala. Alikuwa na rafiki yake wa kike wakitokea chuo (sikitaji). Baada ya muda yule shost alishuka nikabaki na mdogo wangu. Tuliposhuka nikamuuliza vipi kuhusu rafiki yako? Nikutanishe nae. Nimevutiwa nae. Akaniambia tayari ana mchumba wake. Nakasema basi.
Baada ya muda akaniambia kuwa lakini shost yake huyo hana raha katika mahusiano yake. Jamaa anambana sana hadi kumnyima uhuru. Inafika wakati anatamani kuachana nae. Moyoni nikasema YES! Nikamwambia mshawishi waachane. Akasema atalifanyia kazi.
Baada ya siku chache nikampigia mdogo wangu kumuulizia ishu imefikia wapi. Akasema alijaribu kumshawishi lakini binti alikataa kushawishika. Akasema anaogopa akiachana na jamaa, atamuua. Nikashangaa sana moyoni.
Hizi ndizo fikra za wanawake na wanaume? Haya ndo mapenzi? Hapo ni uchumba. Wakioana itakuwaje? Moyoni nikasikitika binti mzuri anakosa amani kiasi hicho. Yani hadi leo wanawake hawajitambui? Anaogopa atauawa...!
...usukule huo....
kujikubalisha kudhani kwamba bila yeye hakuna tena maisha...
mtu anakujengea imani kwamba ati either yeye afe (ajiue) au wewe
ufe au mfe wote sababu ya penzi...
ujinga mtupu!
sikatai kwamba watu wanauana au kufa sababu ya mapenzi, alkini hiyo ni
dalili tosha ya mtu aliyeshindwa kujitambua thamani yake kiasi kwamba
anaona maisha yake yameshikiliwa na mwingine.
mwanaume huyo anayetishia kumuua huyo binti, usikose naye tayari keshamjaza
maneno huyo binti kwamba atajiua akiachwa....hahhhh!? mapenzi si upofu, ni kuchagua kutoona!
I am a good girl (very good in fact) and I hate bad boys. inatokea mkuu. Na kama mtoa mada anampenda kweli huyo dada basi awe hero wake kwa kumset free from that man.Mkuu ukijiangalia vizuri utagundua kinachokufanya useme hvyo ni vile umependa. Ila sikuzote mambo ndo yapo hvyo. Good girls love bad boys!
I am a good girl (very good in fact) and I hate bad boys. inatokea mkuu. Na kama mtoa mada anampenda kweli huyo dada basi awe hero wake kwa kumset free from that man.
A good girl ni yule ambae hafanyi kitu chochote kinyume na tabia generaly accepted as "good values" of the society she lives in, na hafanyi kitu she would be ashamed to confirm if confronted... a very good girl does that and anawashawishi wengine around her to do the same... and it applies to good boys and very good boys too.Good girl (or very good) kakaaje?
A good girl ni yule ambae hafanyi kitu chochote kinyume na tabia generaly accepted as "good values" of the society she lives in, na hafanyi kitu she would be ashamed to confirm if confronted... a very good girl does that and anawashawishi wengine around her to do the same... and it applies to good boys and very good boys too.
I am a good girl (very good in fact) and I hate bad boys. inatokea mkuu. Na kama mtoa mada anampenda kweli huyo dada basi awe hero wake kwa kumset free from that man.
karibuni nilikutana na mdogo wangu wa kike kwenye daladala. Alikuwa na rafiki yake wa kike wakitokea chuo (sikitaji). Baada ya muda yule shost alishuka nikabaki na mdogo wangu. Tuliposhuka nikamuuliza vipi kuhusu rafiki yako? Nikutanishe nae. Nimevutiwa nae. Akaniambia tayari ana mchumba wake. Nakasema basi.
Baada ya muda akaniambia kuwa lakini shost yake huyo hana raha katika mahusiano yake. Jamaa anambana sana hadi kumnyima uhuru. Inafika wakati anatamani kuachana nae. Moyoni nikasema YES! Nikamwambia mshawishi waachane. Akasema atalifanyia kazi.
Baada ya siku chache nikampigia mdogo wangu kumuulizia ishu imefikia wapi. Akasema alijaribu kumshawishi lakini binti alikataa kushawishika. Akasema anaogopa akiachana na jamaa, atamuua. Nikashangaa sana moyoni.
Hizi ndizo fikra za wanawake na wanaume? Haya ndo mapenzi? Hapo ni uchumba. Wakioana itakuwaje? Moyoni nikasikitika binti mzuri anakosa amani kiasi hicho. Yani hadi leo wanawake hawajitambui? Anaogopa atauawa...!
Wewe na Mdogo wako lenu moja tu, Demu anaonekana anamsimamo na mtu wake ndio maana mipango yako haifanikiwi. Halafu hili lakupeana lift na mdogo wako naona kama vile ni ukosefu wa maadili maana mzee mzima unakosa privacy na huyo unayeomba lift kwake, hili kwa mwanamke mwenye akiri hakubali kabisa. Haya Mambo yakidhungu bwana inawezekana hata rafiki yako akimtaka mdogo wako utampigia pande vile vile au mdogo wako akiwa na tabia mbaya sijui ujasiri wakumkea utaupata wapi?