Umeshawahi kuliona hili?

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Kila uwanja wa mpira wa miguu (hasa viwanja vya wazi) unakuwa na njia katikati kutokea kona moja hadi nyingine (kama diagonal)......karibia viwanja vyoote.....hivi sababu ya hii kitu ni nini hasa...??...naomba tujuzane!!

Nawasilisha.
 
Sababu ni uwanja wa mpira wa miguu wa wazi.
 
Kwasababu watu hawana muda wa kuzunguka nje ya uwanja.
Ni mbali sana.
Kwahiyo kupita katikati ni shortcut.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…