Mnawakuza sana wakenya eti wana uwezo mkubwa wa kufikiri. Sasa uwezo gani wa kufikiri wakenya wanayo? Acheni mambo ya kindezi. IQ uchwara ya adriz na Chaliifrancisco tu imezidi za mamillion wengi wa Kenya
utafiti wa hao jamaa kuwa mkubwa wa kufikiri umetokea wapi?kwa mtu mzima sana wa kuelewa mambo na kuchunguza ungewaonea huruma hawa jamaa,kiukweli bila kuficha nawaona kama watu waliochanganyikiwa asilimia kubwa,kingereza ni sawa na wasukuma tu
Hayo maharage ya ngwara Huwa nayaona kandokando ya barabara ya kwenda Moshi/Arusha maeneo ya kuanzia Hedaru Hadi Same, mwanzoni nilikuwa nashangaa ndipo nikauliza wenyeji