Umependa Kweli, Funguka usikike!!.


Hapo ngoma droo,
kwa jinsi unavyonitikisia hata mimi nawaambia masela umenimind...

Lakini,kwanini unanitangaza huku Jf?
si ungemwambia hata mshikaji wangu angenitonyaa
 
hahahaa! charty sikia huyu!!.tehtehtehtehteh

Wana tabia mbaya hao shauri yako!!
Kama huamini muulize best yangu Blandina Chagula aka Johari atakusimulia yalompata!!
 
Wana tabia mbaya hao shauri yako!!
Kama huamini muulize best yangu Blandina Chagula aka Johari atakusimulia yalompata!!

eh jaman,mbona kila mtu ananiambia hv? wachache sana wanatusifia tukiwa pamoja,kuna ukwel gan hapa? mbona mimi namuona kawaida tu na upendo ndo unazidi kila leo,?!.tatizo nini
 
ujumbe mzuri. ila kumbuka kuwa kuna nguvu ya asili inayoendesha hayo mambo Mom Fay!

neno 'NAKUKUNDA' halitoki hivi hivi mdomoni mama!

mwanaume anaweza kabisa kusema 'naomba maji ya kunywa'.. ukampa!.. simple!

lakini neno 'NAKUPENDA' laweza chukua hata mwaka kumtoka mdomoni!

THATS NATURE...
 
Last edited by a moderator:

Umenielewa lkn?
 
Hahaha sa hayo maumbile si hadi yawe yanatingishika

Hili nalo neno wii!!
Kuna watu wana mbinu,kuna bint miaka hiyo M'nyamala komakoma alikuwa anaitwa maringo saba,akipita kwenye kikundi cha wavulana anaweza abadili mwendo kama mara saba hivi mpaka apotee machoni kwao!!
Alikuwa mwembamba sana,hasira ya kukosa maumbile ya kutikisa akaihamishia kwenye mwendo!!
 
Sijaamini nilichokisoma Mke mwenzangu!!! Umejitikisa kwa mkaka wa mtaani na bebi wetu vipi? I wish asikie haya jaman niachie mume maana umeanza macho juujuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…