"Umepata wapi namba yangu?" Inaboa kwakweli

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,201
Reaction score
17,563
Me bado nashangaa πŸ™„

Demu unatumiwa SMS au unapigiwa na namba ambayo huijui na mwanaume,

Anakueleza shida yake kuwa amekupenda, alikuona mahali, amekufuatilia mpaka amepata namba yako ya simu, alafu wewe inaishia kumwuliza "umepata wapi namba Yangu?!"

Alafu hapo una Miaka 30, upo singo, umechanganyikiwa, kengele ya uzazi inalia, unamlaumu Mungu, Dunia na kukuuliza wapi uliyakosea Maisha πŸƒπŸƒπŸƒ si Bora ushukuru Mungu Kwa Huyo mjeda kukuhangaikia na kumsikiliza Kwanza badala ya kuuliza maswali ya kipuuzi?!

Ingekuwa NI Mimi napigiwa na MTU ambae sijui kapata wapi namba yangu ningemjibu kama anavyojibu dadaetu WA Arusha πŸ˜‚
1. Kama ni simu kapiga
Stranger: Habari dada
Mimi: nzuri Kaka
Stranger: za kushinda?!
Mimi: salama, habari ya majukumu
Stranger: nzuri kabisa namshukuru Mungu
Mimi: ndio Kaka, karibu nikusaidie.
Stranger: Dada samahani naweza kukuona
Mimi: Bila samahani, lakini sijajua naongea na Nani?!
Stranger: naongea na Abdalah
Mimi: oh Abdalah, ok Abdalah WA wapi jamani
Stranger: Abdalah WA BuzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi: ok Kaka,
Abdalah: ningependa tuonane tuongee maana nikiongea kwenye simu sitaweza kujieleza vizuri kama nikikuona live
Mimi: hamna neno kaka
Abdalah: tunaweza kuonana popote ambapo kwako ni rahisi kufikika
Mimi: Bila shaka, Ila Kwa sasa nimesafiri, nipo Mkoa nikirudi tutawasiliana Kwa ajili ya kuonana
Abdalah: Sawa asante Sana dada, tutawasiliana basi
Mimi: karibu
Simu inakatwa

Unaona sasa, hapo Abdalah umemwacha njia panda ya Buza, akiwa na matumaini ya kuonana na wewe lakini umejibu kistaarabu sio Kwa kejeli wala dharau

Huwezi jua Abdalah anamsaada gani kwako, huenda abdala akawa amekupenda lakini ana rafkiake anaitwa Juma ambae ndio Mungu amekupangia akuoe.
Au Abdalah akawa anajua dili la KAZI, biashara, viwanja na mashamba, akakusaidia pale mapenzi yatakapofeli

Jamani wale wenye maswali ya umepata wapi namba yangu naombeni mbadilike muwe kama dada WA Arusha anavyojibu akipigiwa simuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, maisha sio namba ya simu Tu, kuna watu wanatamani hata wapigiwe na Huyo Abdalah lakini hawapatiπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
MKUU MWANAMKE yeyote ambaye hakuulizi swali hilo ni wa kuogopa sana,,,,DUNIA ya sasa imebadilika sana,,,Mimi nilishawahi KUCHAT NA X GIRLFRIEND WANGU KUMBE NACHT NA MUMEWE BILA KUJUWA,,NILIGUNDUWA MWISHONI KABISA,,NA NILICHOMJIBU HUYO MUMEWE ALIAMUA KUNIPIGIA SIMU BADALA YA KUCHT,,,WATU wengi wanaingia ktk matatizo kwa kudeal na namba usizozijuwa,,,Mara nyingi wanawake wanaogopa KUJARIBIWA,,,au KUKOMOLEWA,,Nina maana anaweza boy friend wake akampa MWANAUME mwenzie number ili amjaribu girlfriend wake kama ni muaminifu,,,,au MWANAMKE kuna mtu ana matatizo nae akaamua KUMPA namba MWANAUME ili asex nae amkomoe,,,ndy maana ya kuulizana swali hilo,,ila kuna MBINU nyingi za kukwepa swali hilo na akaridhika kabisa,,,wacha iwe siri yangu..... Mimi huwa Mfano nikimtaka MWANAMKE na namba zake ninazo huwa nakosea tigo pesa,, pesa zinaingia kwake...halafu simuulizi...ni lazima apige SIMU,, hapo ndy najieleza vzr lakini namwambiya hyo ni bahati yako..nimekosea namba mrembo,,,halafu naomba nisave contact,,,.baada ya siku mbili tatu..halafu anza kucht nae. ILI ASINISAHAU....ukimsifia umependa sauti,,kwa zama zile bila whtsap,,,lakini kwa sasa ni rahisi sana ,,kujieleza kwa picha zake za profile,,,kuanza kumsifia uzuri wake,,hapo hakuna swali la umepata wapi namba ZANGU ..... ..zamani nilikuwa natumia MBINU ya wrong number,,naweza kupiga simu nikitoa maelekezo kuhusu pesa Fulani ,,au kuhusu kumalizia UJENZI FULANI,,,,baadae nagundua kumbe nimekosea namba,,,lakini kutokana na Yale maelezo yangu ya mwanzo ,, yule MWANAMKE nitamchanganya sana,,tena atatamani anione,,,,lakini kuna MIDUME domo zege ikibanwa,,INASEMA namba kanipa FULANI..kwahyo hyo MBINU hiyo kwa sasa haifanyi kazi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dingi apo umeua ila mi kuna mwaka sijui nlikuw na gundu,nikijifanya nakosea kutuma ela kwake ndo inakuw mwisho wa ile namba kupatikana hewan.sheeeenz kabsa wale madem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…