Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Aug 18, 2013 #81 Mbrazili said: Bachelor of arts in economics Click to expand... chuo gani?kama udsm nitafute nikupe madesa.
Mbrazili said: Bachelor of arts in economics Click to expand... chuo gani?kama udsm nitafute nikupe madesa.
T Thema JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 301 Reaction score 64 Aug 18, 2013 #82 Wazo la kabwela said: karibu kijana kwenye ulimwengu wa wakandarasi. Daa but wacha usharo huku watu hatulali full ubundi! Click to expand... Asante sana kaka,nitajitahidi kusongoka kwa sababu mi mwenyewe ni mtoto wa kubundi kutoka shule za kata.
Wazo la kabwela said: karibu kijana kwenye ulimwengu wa wakandarasi. Daa but wacha usharo huku watu hatulali full ubundi! Click to expand... Asante sana kaka,nitajitahidi kusongoka kwa sababu mi mwenyewe ni mtoto wa kubundi kutoka shule za kata.
donmasam Senior Member Joined Jun 19, 2013 Posts 161 Reaction score 36 Aug 18, 2013 #83 vipi mtazima wengine bado tunakuta error ya apache kwa tuliopply kipitia cas
Goodvision JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 858 Reaction score 467 Aug 18, 2013 #85 B.G said: Education with ict..udom Click to expand... dah mkuu B.G nilikuwa naitamani sana hii yako lakini nimeikosa,any way nimepata computer science st.joseph
B.G said: Education with ict..udom Click to expand... dah mkuu B.G nilikuwa naitamani sana hii yako lakini nimeikosa,any way nimepata computer science st.joseph
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Aug 18, 2013 Thread starter #86 Mbrazili said: Bachelor of arts in economics Click to expand... hahaahaah! Ntakuwa nae class moja ikifika wakat wa course ya economics1
Mbrazili said: Bachelor of arts in economics Click to expand... hahaahaah! Ntakuwa nae class moja ikifika wakat wa course ya economics1
B B.G Senior Member Joined Aug 1, 2013 Posts 119 Reaction score 8 Aug 18, 2013 #87 john tongo said: dah mkuu B.G nilikuwa naitamani sana hii yako lakini nimeikosa,any way nimepata computer science st.joseph Click to expand... sio mbaya mkuu ila me hii hata sijui inahusu nn...bora yako facalty yako inaeleweka
john tongo said: dah mkuu B.G nilikuwa naitamani sana hii yako lakini nimeikosa,any way nimepata computer science st.joseph Click to expand... sio mbaya mkuu ila me hii hata sijui inahusu nn...bora yako facalty yako inaeleweka
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,476 Reaction score 949 Aug 18, 2013 #88 Thema said: Bsc.Civil Engineering,UDSM. Click to expand... kudos mkuu,,,you will never regret in life
Thema said: Bsc.Civil Engineering,UDSM. Click to expand... kudos mkuu,,,you will never regret in life
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Aug 18, 2013 #89 Perry said: chuo gani?kama udsm nitafute nikupe madesa. Click to expand... Ardhi....ni mshikaji wangu sio mie...mi IFM bachelor of banking and finance
Perry said: chuo gani?kama udsm nitafute nikupe madesa. Click to expand... Ardhi....ni mshikaji wangu sio mie...mi IFM bachelor of banking and finance
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Aug 18, 2013 #90 Darius said: hahaahaah! Ntakuwa nae class moja ikifika wakat wa course unit ya economics1! Coz lazima nisome hyoo unit Click to expand... Hahahahah basi sawa mtani.....mungu atufanyie wepesi tupite na obstacle hii
Darius said: hahaahaah! Ntakuwa nae class moja ikifika wakat wa course unit ya economics1! Coz lazima nisome hyoo unit Click to expand... Hahahahah basi sawa mtani.....mungu atufanyie wepesi tupite na obstacle hii
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Aug 18, 2013 Thread starter #91 Mbrazili said: Hahahahah basi sawa mtani.....mungu atufanyie wepesi tupite na obstacle hii Click to expand... pamoja @chundabad singasingaaaaa#team
Mbrazili said: Hahahahah basi sawa mtani.....mungu atufanyie wepesi tupite na obstacle hii Click to expand... pamoja @chundabad singasingaaaaa#team
Chromium JF-Expert Member Joined Apr 17, 2008 Posts 589 Reaction score 187 Aug 18, 2013 #92 Wazo la kabwela said: kwan umeambiwa kila mtu anayesoma sheria lazima awe wakili au hakimu?? Click to expand... Najua wengine watakuwa walimu wa sekondari kufundisha Civics na GS
Wazo la kabwela said: kwan umeambiwa kila mtu anayesoma sheria lazima awe wakili au hakimu?? Click to expand... Najua wengine watakuwa walimu wa sekondari kufundisha Civics na GS
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Aug 18, 2013 Thread starter #93 Chromium said: Najua wengine watakuwa walimu wa sekondari kufundisha Civics na GS Click to expand... haahaaahaa teh teh te!
Chromium said: Najua wengine watakuwa walimu wa sekondari kufundisha Civics na GS Click to expand... haahaaahaa teh teh te!
T Thema JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 301 Reaction score 64 Aug 18, 2013 #94 nyangi m.a said: kudos mkuu,,,you will never regret in life Click to expand... Thanks sana.Tutakiane kheri tu mkuu.
nyangi m.a said: kudos mkuu,,,you will never regret in life Click to expand... Thanks sana.Tutakiane kheri tu mkuu.
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Aug 18, 2013 Thread starter #95 Mbrazili said: Hahahahah basi sawa mtani.....mungu atufanyie wepesi tupite na obstacle hii Click to expand... upo pamoja na Young babu hapo ifm na yy pia ni Bankng&finance
Mbrazili said: Hahahahah basi sawa mtani.....mungu atufanyie wepesi tupite na obstacle hii Click to expand... upo pamoja na Young babu hapo ifm na yy pia ni Bankng&finance
M mbugi2013 Member Joined Aug 17, 2013 Posts 39 Reaction score 4 Aug 18, 2013 #96 jaman 2saidiane mtandao unasumbua namba yangu s0515/0051/2005,OIL SUMU help me plz
mohammad_othar JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 247 Reaction score 42 Aug 18, 2013 #97 mbugi2013 said: jaman 2saidiane mtandao unasumbua namba yangu s0515/0051/2005,OIL SUMU help me plz Click to expand... Hamna ki2 bado
mbugi2013 said: jaman 2saidiane mtandao unasumbua namba yangu s0515/0051/2005,OIL SUMU help me plz Click to expand... Hamna ki2 bado
Dansel JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 249 Reaction score 59 Aug 18, 2013 #98 UD058 Bachelor of science in Civil Engineering, University of Dar es salaam
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Aug 18, 2013 #99 chromium said: hivi ushirika yenye walimu wenye elimu ya kati inaweza kutoa mwanasheria atakayeelewa kesi yoyote achilia mbali kumtetea yeyote kortini? Hapo hata upige msuli ni bila bila Click to expand... kuna maprofesa wakutosha sema nikutajie
chromium said: hivi ushirika yenye walimu wenye elimu ya kati inaweza kutoa mwanasheria atakayeelewa kesi yoyote achilia mbali kumtetea yeyote kortini? Hapo hata upige msuli ni bila bila Click to expand... kuna maprofesa wakutosha sema nikutajie
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Aug 18, 2013 #100 Darius said: haahaahaa eti chuo cha ushirikaaa Click to expand... Average ya 40% hapo ni kula bataaa ,ifm ni taasisi sio chuokikuu
Darius said: haahaahaa eti chuo cha ushirikaaa Click to expand... Average ya 40% hapo ni kula bataaa ,ifm ni taasisi sio chuokikuu