Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Hahahahah wachawi wapo kabisa unadhani uchawi ni mpaka kuroga hata roho mbaya ni uchawi,,Ndio hivyo " watu waliopo humu ndio hao hao tunaopatikana mitaani pia ... so kama huko mtaani kuna watu wanaoumizwa na efforts zako ..basi ushingae kukutana na hayo makando pia humu jf ...kwa sababu jf inawakilishwa na watu wale wale wenye tabia zile zile (nzuri/mbaya), katika jamii " ..
Jf kuna mpaka wachawi ...hahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nadhani namba 2 ndo muhimu zaidi!No 3 ni muhimu xn ktk maisha ya kila mwanadamu!!
babawawili
Muhimu tu mnapaswa kuwa na nidhamu ya mawasiliano" kuna watu wengine ambao mnawakaribisha katika maisha yenu (wanao toka humu)
Kweli kabisaMuhimu tu mnapaswa kuwa na nidhamu ya mawasiliano" kuna watu wengine ambao mnawakaribisha katika maisha yenu (wanao toka humu)
Hawafai kupewa nafasi ya kuwa na mawasiliano nao ... at end of the day akishajua weakness yako anakuja kukuanika humu "
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu kumbe una busaraMuhimu tu mnapaswa kuwa na nidhamu ya mawasiliano" kuna watu wengine ambao mnawakaribisha katika maisha yenu (wanao toka humu)
Hawafai kupewa nafasi ya kuwa na mawasiliano nao ... at end of the day akishajua weakness yako anakuja kukuanika humu "
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akusaidie sana namba 2 baada ya hapo hayo mengine yatakuwa simple.1. Kubariki ndoa yangu
2. Kuboresha mahusiano yangu na Mungu
3. Kumalizia mjengo
4. Kupata kausafiri kidogo (gari)
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu wa Jf. Nimeleta uzi huu tukumbushane tu jambo hili muhimu.
Malengo ni dira inayo kuongoza mambo ya kufanya na vipaumbele vyako vinavyo stahili kugharimu muda wako, fedha na akili.
Ni jambo la lazima kuwa na malengo yaliyo andikwa kuwa unataka kutimiza nini katika maeneo yote maishani: yaani kiroho, kiuchumi, kifamilia, kijamii nk.
Kuishi bila kuwa na mwongozo ni hatari, kwa kuwa unakuwa hujui umefanikisha nini na umefeli wapi! Tumia muda huu kama ulikuwa bado, kuainisha nini unataka kufanya mwaka 2019 na kuanza kuweka mkakati wa kuyatimiza.
Muwe na wakati mwema,
Hodiiii Jf.
Wewe ni wewe: USIPANGE MALENGO KUTOKANA NA PICHA ZA SHOSTI ZAKO MTANDAONI - JamiiForums
Hee makubwa..sio namba 2?No 3 ni muhimu xn ktk maisha ya kila mwanadamu!!
babawawili
Marhaba, barikiwa sanaHahaha shikamoo dada ...
Mimi huwa na waheshimu sana wanawake ... hauwezi kunikuta nikiwaongelea vibaya hata siku moja ".
Kwa sababu kwetu nina mama nina dada nina mamdogo nina shangazi pia .. so kwanamna yoyote ile hata wakiwa na Tabia mbaya .. siwezi kufurahi nitakapo sikia wanasemwa kando na mtu mwingine "
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtazamo tu
Amen, kila la kheri mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka yote napanga mipango haitimii!!
Mwakani ntakua nazuga tuu
Siweki lengo hata 1
Miaka yote napanga mipango haitimii!!
Mwakani ntakua nazuga tuu
Siweki lengo hata 1
Nipo mkuu, hebu ninong'oneze PM majina yako halisiMkuu kumbe upo hadi huku?