Umeona eeh anatutega

 
Vijana oeni UKIMWI utawamaliza. Mwanaume wa kweli na aliye busy na shughuli zake hawezi kutegwa na lady ambaye ni liability. Mwanaume wa kweli hutegwa na hela, majumba na magari siyo hawa viruka njia

Umetisha jombaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…