umemsave jina gani

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,890
jana nilikua na jamaa mmoja tu na piga story jioni. alikua ananiambia yeye na mchumba wana kaa sehemu tofauti tofaiti sasa ipo ivi huyo wake yupo mchuma wake kila mara yupo busy na simu ana chat na mtu amesaviwa fundi bomba kila maratext. nikamwambia kaka jipange huyo huyo mume mwenzio.
twende kwe mada.
kenye simu yako ume msave jina gani mpenzi wako ua mchepuko ????
Mm nimensave Kinanda, sina mchepuko
 
Kuna watu mmebarikiwa kwa kuwa na kipaji kizuri cha uandishi.
 
Nimemsevu kwa majina yake yote matatu[emoji41]
 
Nimemsevu Jenereta la umeme coz umeme ukikatika home waaa! na mimi naenda kuliwasha jenereta mwaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…