Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Gold,Oil and DiamondHiv tatzo hasa la venezuela ni nn? Nn hasa chanzo? Kwa nn hawamtaki(usa)rais aliko madarakani? Na je kwa nn pia pamoja na jitihada zote za marekani na washirka wake wqmeshindwa kumung,oa rais madulu?
Mwenye kujua plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani anamtumia....kuidhalilisha US.Huyo kibaraka wa USA maduro mbona anamlea lea si amchinje hadharani ili liwe fundisho kwa wasaliti
huwa Wana kauli mbiu yao inasema hivi
Gud asante kwa ufafanuz, sasa hw haikutokea toka mwazo iwe sasa, maana maduro hii ni awam yake nafikr ya pili, means kwamba ameenda kinyume cha makubaliano?huwa Wana kauli mbiu yao inasema hivi
"In God We Trust"
hahaha kwa akili za haraka UNAWEZA kusema "Kwa Mungu Tunaamini"
lakini wenzako Wana maana kuwa
"In Godl (G) Oil (O) Diamond (D) We Trust"
Kwa maana Nyingine ili kuendesha uchumi wao wa ki bepari wana amini/wamewekeza katika
Dhahabu,mafuta na almasi
Fuatilia migogoro mikubwa ya USA katika mataifa ya nje
huwa Ni kutokana na migongano ya Aina hiyo
Libya walimnyofoa Gadafi kisa Mafuta (Oil)
Mgogoro wa Venezuela Ni kisa Mafuta (Oil).
Invection ya mataifa ya uarabuni Ni kisa Mafuta (Oil)
Huku nchi za ki Africa wamepiga kambi kwenye
Gold and Diamond rejea inshu za
Black diamond
Williamson Mining
Ophrein family (Not sure)
Na jinsi Congo inavyolika kwa Sana
Majuzi Kati naona Pombe alitaka kulikoroga kwenye Makinikia now c umeona inshu ime vungwa?!?!?!!!!
hahahahaha
"In God We Trust"
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia kilichomuua Hugo chaves.Gud asante kwa ufafanuz, sasa hw haikutokea toka mwazo iwe sasa, maana maduro hii ni awam yake nafikr ya pili, means kwamba ameenda kinyume cha makubaliano?
Isue za oil,na gold zinajulikana, ila kwa nn iwe kwa maduro, na je kwa nn kashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
In G.O.D we trustG
Gold,Oil and Diamond
Binafsi niko upande wa Hugo Chavez! Mabeberu sio watu wazuri, wanaweza kukupaka kinyesi ukawanukia watu wako na ukaonekana kero, kumbe shida ni mabeberu!
Sent using Jamii Forums mobile app