Rweye JF-Expert Member Mar 16, 2011 16,958 7,512 Jul 18, 2011 #1 Niko nacheki taharifa ya habari juu ya kusimama kwa bunge katika bajeti ya nishati na madini mara ghafla Ngeleja anakata umeme,sijuhi vipi huko wenzangu
Niko nacheki taharifa ya habari juu ya kusimama kwa bunge katika bajeti ya nishati na madini mara ghafla Ngeleja anakata umeme,sijuhi vipi huko wenzangu
M Moris Member Mar 26, 2011 25 0 Jul 18, 2011 #2 Geita pia umeme umekatka now,jaman hali hii mpaka lini,leo bill imekuja 70 elfu,akati matumizi n ya kawaida kabisa,mwez jana nmelpa 3500 tsh.
Geita pia umeme umekatka now,jaman hali hii mpaka lini,leo bill imekuja 70 elfu,akati matumizi n ya kawaida kabisa,mwez jana nmelpa 3500 tsh.