Umeme wa IPTL utawashwa lini?

IPTL itawashwa mara moja kama Rais alivyoagiza.tehetheeee

Umesahau Mkuu Tanzania hatuna Rais bali tuna Msanii anayedhani kwamba yeye ni Rais. Huwezi kuwa Rais mwenye madaraka makubwa na kushindwa kuyatumia madaraka yako katika kuiepusha nchi kuelekea katika janga kubwa.
 
Back
Top Bottom