Umeme umekatika ZEC

kwanini kama hakuna back up wasimulikwe na tochi??? kwani kamera si zingewaona tu...
 
Inatakiwa uwe na roho ngumu kuishi nchi hii
 
Kazi ipo,lakini naamini kila kitu kitakuwa sawa,wananchi hawadanganyiki tena kirahisi.
 
Taifa hili lina safari ndefu sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…