Umeme umekatika nchi nzima.

kudadeki.....ndo naingia chimbo baada ya umeme kunipunja w/end yangu......nina tanesco wallah......
 
hata huku bungeni chadema hakuna!
 
Mmmh!! Nipo ilala bungon na hakuna umeme.. By the way umerudi!!
Umeme upo, mchana tu ndio ulikatika baadhi ya maeneo, but kwa sasa naona upo tu kote! Anyway, Tanesco wanafahmu zaidi sababu za kukatika katika wa umeme!
 

Nguzo mnabadilisha saa 6-7 za usiku??!! Tena wkend!!?
 
Hata moro town na viunga vyake walikataaaa. Kweli tanescoccm wanahamia digital.
 
Kigoma upo wa kuzidi (sio grid lkn)
 
Hata humu kwenye daladala la tandika umekatika
 
Mtwara & Lindi umeme upo! Hivi wao hawapo katika gredi eenh?
 
Sijui kama ni la kweli ama la, ila kwa mkoa niliopo hakuna umeme na baadhi ya watu niliocontact nao wanasema maeneo waliyopo hayana umeme.

Yule prof wa umeme pamoja na misifa yote aliyopewa hapa JF, mmh kazi kweli kweli! Time is the best advocate!
 
Hii imetusaidia kujua sehemu walipo wana JF. Hongereni kwa kujitambusha. Na mimi labda niseme Dar maeneo ninayoishi sikujua kama wenzetu mlikatikiwa...kwetu ulikuwa wa kucheba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…