Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Kulikoni huko kunako Grid...Maana jamaa yangu wa Sinza naye kasema pia huko ni kelele za Majenereta ya Mahoteli Makubwa...
pole xana mkuu...bt ndo near dawn....Huku bado haujarudi...
Nipo cngda ulikuwa umekatika pia bt usharudi.
Nipo MWANZA ulikatika baada ya el classico kama dakika kumi tu then ukarudi mpaka mida hii upo.