Umeme umekatika nchi nzima?

Umeme umekatika nchi nzima?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,554
Reaction score
2,158
Nipo Mbeya Umeme umekatika saa nane na robo,pia nasikia Dar Umeme umekatika pia... vipi huko kwingine...???
 
Mi nimeshtuka usingizini naona rangi nyeusi kila mahali. Niko moshi.
 
Kulikoni huko kunako Grid...Maana jamaa yangu wa Sinza naye kasema pia huko ni kelele za Majenereta ya Mahoteli Makubwa...
 
Nipo cngda ulikuwa umekatika pia bt usharudi.
 
Nipo MWANZA ulikatika baada ya el classico kama dakika kumi tu then ukarudi mpaka mida hii upo.
 
Nimeongea na watu Kahama wanasema umekatika toka jana mchana ila mgodini Buzwagi unawaka full time
 
nilishtuka natokwa na jasho balaa....i hope hatutaanza mambo ya mgao
 
Mtwara unatumika wa mnazi bay,haupo kwenye gridi. Muda wa usiku wa manane kuamkia leo ulikatika pia,ila kulikuwa na mvua,nisigeneralize matukio..
 
Back
Top Bottom