Umeme REA vijijini vipi?

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,167
11,490
Kuna sehemu wanakuja wanasimamisha nguzo Barabara Kuu na kusepa. Vipi kuhusu kusambaza nguzo kwa walengwa au wao walipie nguzo?

Kwa mfano: Kijiji/Mtaa/Kitongoji cha Makurunge katika Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani. Wamesimamisha nguzo kwenye Barabara Kuu na kuacha kusambaza nguzo ndogo kwa wananchi.

Wanataka wananchi wajigharamie kuvuta umeme kutoka barabarani mpaka kwenye nyumba zao au nini?
 
Subirini ikaribie October mwaka huu.
 
Acha kulalamika hizo nguzo ni HT wataleta nyingine za mitaani usipende kulalamika
Nina jamaa yangu nilimtembelea miezi miwili iliyopita akawa anashangilia. Wiki iliyopita nikamtembelea akawa anashangaa wametelekeza manguzo na kusepa
 
Back
Top Bottom