mkuu kweli
New Member
- Jun 11, 2019
- 2
- 0
Mimi naushi ikwiriri huku umeme bado kabisa na hakuna mpango wowote wa kusambaza umeme na ukiitaji umeme bado garamakubwa sana je serekali inampango gani kuusu hili wananchi tunaitaji umeme tena kwa wingi Sana au tufanye niji wananchi tupate umeme wenye garama nafuu ambao ni Rea