Umeme na anguko kubwa la chama cha magamba (ccm) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme na anguko kubwa la chama cha magamba (ccm)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kajuni, Jun 19, 2011.

 1. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Naandika nikiwa na furaha!!!! kivipi? kwani hakika anguko kubwa la chama cha Magamba limekaribia sitaki kuwa shehe Yahaya (the late RIP) lakini ni mambo yanayo onekana kwa uwazi kabisa (Black and white). Na hakika hayaitaji mtabiri kuyaona. Vijana wana hari kubwa sana kuleta mabadiliko.
  Kilichonipa furaha ni kelele pindi umeme unapo katika hapa mtaani kwangu...mayowe na nderemo usikika vijana wakisema. TUMPIGE CHINI RAISI kwani kazi imemshinda na haya sio maisha bora kwa mtanzania. Kijiwe kimejaa vinyozi, wauza samaki, wauza nyama etc ambao vipato vyao viko hatarini kwa hili tatizo la mgao. Takwimu zina sema ni asilimia 14% tu ndo chama cha magamba kinawafikia kwa huu umeme wa mgao.... what a shame!!!! 50 YRS baada ya uhuru.

  Jamani wakati umefika kukaza uzi... tena nafikiri hizi ishu za bajeti zinaweza kuwa ngumu kueleweka. Lakini hili la umeme watu wanalielewa fika. Visingizio vimekwisha kwani mvua zimenyesha na mitambo yote imewashwa lakini mgao upo pale pale tena ndo umeongezeka maradufu. Wala tusiumize kichwa na matendo ya binti Kiroboto mjengoni na mengine mengi kama hayo.

  Haya shime wakati ndo huu tuchukue hatua... napenda kuwakilisha.
   
 2. r

  rununu Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  una hoja ya msingi sana kuhusu hili tatizo la umeme, ni kweli kabisa miaka 50 c mcheza lkn bado umeme tatizo na huku tuna vyanzo kibao vya umeme kama; maji, gesi, makaa ya mawe na upepo.
  vema sana ila kijana lugha kidogo inakupiga chenga mf hari badala ya ari, usikika badala ya husikika
   
 3. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,061
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Umesahau chanzo cha jua. Chad, nchi maskini zaidi duniani, ina taa za barabarani mji wote wa N'djamena, kwa sababu ya nishati ya jua! Sijui Dar ina taa za barabarani vile??ยจ!!!!
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nafikiri jamaa wameshindwa kusoma alama za nyakati,itakula kwao hivi karibuni!!
   
Loading...