Maistro 1
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 422
- 181
Ukitaka kujua ubovu na uduni wa TANESCO njoo jiji la Mwanza ukae angalau siku moja(1) tu utajua jinsi hali ya TANESCO ilivyo. Kwa kifupi umeme unakatika-katika na kurudi kwa baada ya zaidi ya dk 2 au zaidi ya saa 1 karibia mara 5 kila siku yaani 24/7. Imefikia mahala nimejiuliza ivi hili jiji lina viwanda? Mwanza jiji hakuna kabisa umeme wa uhakika.