Umeme kukatika ghafla

Umeme kukatika ghafla

Habari ya Jioni.

Tumepata itilafu kwenye njia kuu "Transmission line" inayoleta umeme mkoa wa Arusha.

Tunaendelea kufuatilia tatizo ili umeme uweze kurejea.

Tunaomba wateja wetu muwe wavumilivu..

Maeneo yanayokosa umeme ni mkoa wote wa Arusha.

Imetolewa na Ofisi ya

Uhusiano na Huduma kwa Wateja
TANESCO ARUSHA
12/08/2021.
 
Sasa mbona ni nchi nzima!?
 
Mpaka huku mjini kwangu wamekata hawa matanesco bila kusimamiwa kama watoto hawaezi chochote
 
Back
Top Bottom