Silverone Senior Member Joined Jun 29, 2018 Posts 126 Reaction score 186 Sep 15, 2018 #1 Toka jana usiku baadhi ya maeneo ya wilaya mufindi Umeme umekuwa wa matatizo, unawaka na kuzima. Kama kuna shida ni bora wangezima kabisa kuliko mtindo huu wa kuuacha umeme usio na nguvu, watu wengi wamelalamika kuunguliwa vitu vyao.
Toka jana usiku baadhi ya maeneo ya wilaya mufindi Umeme umekuwa wa matatizo, unawaka na kuzima. Kama kuna shida ni bora wangezima kabisa kuliko mtindo huu wa kuuacha umeme usio na nguvu, watu wengi wamelalamika kuunguliwa vitu vyao.
D DrLove69 JF-Expert Member Joined Jan 20, 2018 Posts 3,112 Reaction score 3,497 Sep 15, 2018 #2 Mmetoa Ripoti Tanesco!? Inawezekana ni suala la kiufundi na Tanesco hawana taarifa.
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 861 Reaction score 1,114 Sep 15, 2018 #3 Tukusaidieje Sisi! By The Way, Napita Tu Mkuu!
Ezekia Lameck JF-Expert Member Joined Aug 4, 2017 Posts 201 Reaction score 212 Sep 15, 2018 #4 Kwann usianze kutoa taarifa kwanza kwa wahusika (Tanesco) Huenda taarifa hawana, ukiwapa taarifa wanaweza kutatua hilo tatizo mapema.
Kwann usianze kutoa taarifa kwanza kwa wahusika (Tanesco) Huenda taarifa hawana, ukiwapa taarifa wanaweza kutatua hilo tatizo mapema.
Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,853 Reaction score 14,082 Sep 15, 2018 #5 Headline yako sijaiyelewa! una maanisha Stiegler's Gorge imeshaanza kutoa umeme au nini yani?
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,874 Reaction score 8,290 Sep 15, 2018 #6 Anamaanisha S Gorge ianze mapema
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,473 Reaction score 31,966 Sep 15, 2018 #7 Toa taarifa kwa TANESCO