Umeme Eneo Hilo Hilo Moja: Kwanini wengine wapate umeme wengine wakose?

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
3,093
Reaction score
1,077
Walahi uchaguzi wa Mitaa ungefanyika kesho mimi nisingepigia kura CCM. Nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo karibu na jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na kuwaka baada ya muda mfupi. Hizi samaki kwenye mafriji inakuwaje? Saa hizi Ubungo yooote ina umeme, jeshini tu ndo hakuna umeme. Sisi wananchi tunaopakana na hili jeshi giza totolo. Tukisema CCM inaajiri watu wabovu kwenye mashirika yetu ya Umma mnasema hoooo...tunageuza kila kitu kuwa cha kisiasa. Hili la kukosesha kambi kubwa namna hii ya jeshi umeme na raia waishio jirani limekaaje jamani, wakati kwingine koooote umeme upo?

UPDATES:
wameuwasha usiku jamani...labda nalo hilo tulisemee. ingawa ata sijui wameuwasha saa ngapi.
lakini bora wamewasha ingalau tupumue leo; labda tutapumua leo...manake watu wenyewe hawa hata hawatabiriki
 
Walahi uchaguzi wa Mitaa ungefanyika kesho mimi nisingepigia kura CCM. Nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo karibu na jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na kuwaka baada ya muda mfupi. Hizi samaki kwenye mafriji inakuwaje? Saa hizi Ubungo yooote ina umeme, jeshini tu ndo hakuna umeme. Sisi wananchi tunaopakana na hili heshi giza totolo. Tukisema CCM inaajiri watu wabovu kwenye mashirika yetu ya Umma mnasema hoooo...tunageuza kila kitu kuwa cha kisiasa. Hili la kukosesha kambi ya kubwa namna hii ya jeshi umeme na raia waishio jirani limekaje jamani, wakati kwingine koooote umeme upo?

...........................Mimi binafsi sijakuelewa ... husomeki...!!!!!!
 
Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jamii foroum Habari zenu
Pili nataka kuzungumzia tatizo la umeme hapa mjini Geita ambalo limekua sugu kiasi cha kupitiliza, Imekuwa kero kubwa kwani haijulikani kama ni mgao ama nini kwani ni wiki ya pili mfululizo umeme unakatika kila baada ya masaa matatu ama manne kiasi kwamba shughuli za uzalishaji zinapungua kwani asilimia kubwa ya wananchi wanategemea umeme.
Ningependa kufahamu kama mheshimiwa Pro Muhongo analifahamu hili tatizo, na kama analifahamu analichukuliaje kwani kwamaneno yake mwenyewe alisema tatizo la mgao nchini limepatiwa ufumbuzi, mwisho tunaomba kama kunakitu chochote kinafahamika wawaeleze wananchi ili wawe na uelewa yakwamba nini kinaendelea.:A S-fire1:
 
Walahi uchaguzi wa Mitaa ungefanyika kesho mimi nisingepigia kura CCM. Nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo karibu na jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na kuwaka baada ya muda mfupi. Hizi samaki kwenye mafriji inakuwaje? Saa hizi Ubungo yooote ina umeme, jeshini tu ndo hakuna umeme. Sisi wananchi tunaopakana na hili heshi giza totolo. Tukisema CCM inaajiri watu wabovu kwenye mashirika yetu ya Umma mnasema hoooo...tunageuza kila kitu kuwa cha kisiasa. Hili la kukosesha kambi ya kubwa namna hii ya jeshi umeme na raia waishio jirani limekaje jamani, wakati kwingine koooote umeme upo?
ndg yng shukuru wewe umeukosa siku moja tu.....sisi pamoja na kuichagua iyo ccm unayoita ni mwezi wa pili sasa hatujaupata tangu transfoma ilipuke.......chagua ccm sasa ukae miezi miwili kiza
 
he?! miezi miwili? kesi ya hapo kwenu naona itakuwa wanakomoa mtu; manake katabia ka kukomoa watu wanako hawa tanesco. au kuna mtu aliiba mafuta ya transfoma af mnaonekana mnamjua lakini hamumtaji? wapi hapo kwanza...siyo kisegese huko?
 
Walahi uchaguzi wa Mitaa ungefanyika kesho mimi nisingepigia kura CCM. Nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo karibu na jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na kuwaka baada ya muda mfupi. Hizi samaki kwenye mafriji inakuwaje? Saa hizi Ubungo yooote ina umeme, jeshini tu ndo hakuna umeme. Sisi wananchi tunaopakana na hili heshi giza totolo. Tukisema CCM inaajiri watu wabovu kwenye mashirika yetu ya Umma mnasema hoooo...tunageuza kila kitu kuwa cha kisiasa. Hili la kukosesha kambi ya kubwa namna hii ya jeshi umeme na raia waishio jirani limekaje jamani, wakati kwingine koooote umeme upo?

Mkuu hilo c wamelieleza kuwa zaweza pita hata week 2 hapo umeme hola sababu ya moto uliolipuka pale kwenye mitambo au?
 
Hii subject yako inajijibu yenyewe. Ninyi wenyewe ndio mliobariki umeme uanzie BAGAMOYO ndipo usambae mikoani. SAS SISI HUKU MKITUPA MGAO TUNAWASHA UMEME WETU WA MAJI. UMEME MASAA 24 SIKU 7 ZA WIKI NA WIKI 4 ZA MWEZI NAKISHA MIEZI 12 ZA MWAKA.
 
Mkuu hilo c wamelieleza kuwa zaweza pita hata week 2 hapo umeme hola sababu ya moto uliolipuka pale kwenye mitambo au?

watu hawataki maelezo mkuu. wanataka umeme. ule moto ulitokana na nini mkuu wangu. weye unajua? wiki moja kabla ya huo moto kuna mafundi walikuwa wanachimbuachimbua na kufukia nyaya pale eneo la mitambo, mara wapande juu kufunga nyaya. inavyoonekana kuna mtu alichanganya nyaya live ikawa imegusana na earth pakatokea short-circuit ya kufa mtu pale. sijui walipeleka mateknishan wenye satfiket kufunga zile nyaya?! manake shoti kubwa namna ile ni b.wege la umeme tu litasababisha..... fundi gani atasababisha shoti kubwa kivile kama si mabwege wamepewa kazi hawaziwezi.

watu wanataka umeme, sio maelezo.... nani anaweza kuchaji simu kwa maelezo...au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom