M mantiz New Member Joined Jan 20, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Feb 2, 2014 #1 Tunaomba umeme dodoma..kumekua na tatizo kubwa sana na huu mgao hapa dodoma jamani wahusika tusaidieni...mara mashine imeharibika mara spea wamefuata..tunanyanyasika jamani..tutaendelea lini?????
Tunaomba umeme dodoma..kumekua na tatizo kubwa sana na huu mgao hapa dodoma jamani wahusika tusaidieni...mara mashine imeharibika mara spea wamefuata..tunanyanyasika jamani..tutaendelea lini?????
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,296 Feb 2, 2014 #2 Wakati wa vikao vya Bunge hapo Dodoma hakuna mgao wakati kwenye mikoa mingine mgao kama kawa, sasa onjeni machungu ya mgao!
Wakati wa vikao vya Bunge hapo Dodoma hakuna mgao wakati kwenye mikoa mingine mgao kama kawa, sasa onjeni machungu ya mgao!