Umeme changamoto sana

Umeme changamoto sana

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,430
Bonjour

Hivi Kuna shida gani, mpaka Kuna mgao wa umeme ? Aisee nashindwa kuelewa tatizo ni nini?

Kuna mitaa tunakosa umeme, karibia masaa 12, Yani ni swala linalo leta changamoto sana Kwa sisi wafanyabiashara tunao tegemea umeme, tuna pata hasara sana.

Ni kwamba kwenye mito inayo fua umeme hakuna maji, au ishu ni Nini?

Je hakuna alternative way ya kupata umeme ?

Yani swala la mgao wa umeme, hii inaonesha Bado tunasafari ndefu sana kwenye swala kupambana na umaskini kama nchi, Yan Bado tupo down kabisa kwenye poverty line,

Ishu kama umeme, kitu sensitive sana katika maendeleo ya nchi na mtu mmoja mmoja, Sasa kwanini, inachukuliwa poa poa,

Ni swala la kutia aibu sana, mpka Karne hii kama nchi, tunachangamoto na kupata umeme wa uhakika,

Kazi tu, ku promote mambo yasiyo ya msingi,

Sometimes I hate my country, I wish to relocate to another state
 
Ccm imechoka ndugu ni katiba tu ndo imewaweka apo ilipo
1696914965924.jpg
 
Mgawo wa Umeme: Vifurushi vya TV, Kodi TRA zipungue
 
Back
Top Bottom